Basi Yakobo akaona ya kuwa kuna nafaka katika Misri, Yakobo akawaambia wanawe, Kwa nini mnatazamana?
Yohana 13:22 - Swahili Revised Union Version Wanafunzi wakatazamana, huku wakiwa na mashaka ni nani amnenaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wanafunzi wakatazamana wasiweze kabisa kujua anamsema nani. Biblia Habari Njema - BHND Wanafunzi wakatazamana wasiweze kabisa kujua anamsema nani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wanafunzi wakatazamana wasiweze kabisa kujua anamsema nani. Neno: Bibilia Takatifu Wanafunzi wake wakatazamana bila kujua kuwa alikuwa anamsema nani. Neno: Maandiko Matakatifu Wanafunzi wake wakatazamana bila kujua kuwa alikuwa anamsema nani. BIBLIA KISWAHILI Wanafunzi wakatazamana, huku wakiwa na mashaka ni nani amnenaye. |
Basi Yakobo akaona ya kuwa kuna nafaka katika Misri, Yakobo akawaambia wanawe, Kwa nini mnatazamana?
Nao walipokuwa wameketi chakulani, wakila, Yesu alisema, Amin, nawaambia, Mmoja wenu, naye anakula pamoja nami, atanisaliti.
Sisemi habari za ninyi nyote; nawajua wale niliowachagua; lakini andiko lipate kutimizwa, Aliyekula chakula changu Ameniinulia kisigino chake.
Naye alipokwisha kusema hayo, Yesu alifadhaika rohoni, akashuhudia akisema, Amin, amin, nawaambieni, Mmoja wenu atanisaliti.