Luka 22:21 - Swahili Revised Union Version21 Lakini, tazama, mkono wake yeye anayenisaliti upo hapa pamoja nami mezani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Lakini, tazameni! Yule atakayenisaliti yuko nami hapa mezani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Lakini mkono wake huyo atakayenisaliti uko hapa mezani pamoja nami. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Lakini, tazama, mkono wake yeye anayenisaliti upo hapa pamoja nami mezani, Tazama sura |