Luka 22:23 - Swahili Revised Union Version23 Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hapo wakaanza kuulizana wao kwa wao ni nani kati yao atakayefanya jambo hilo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Wakaanza kuulizana wenyewe ni nani miongoni mwao angeweza kufanya jambo hilo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Wakaanza kuulizana wao kwa wao, ni yupi miongoni mwao atakayelitenda jambo hilo. Tazama sura |