Wewe wauficha uso wako, Wao wanafadhaika; Waiondoa pumzi yao, wanakufa, Na kuyarudia mavumbi yao,
Yakobo 2:26 - Swahili Revised Union Version Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, vivyo hivyo imani bila matendo imekufa. Biblia Habari Njema - BHND Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, vivyo hivyo imani bila matendo imekufa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kama vile mwili bila roho umekufa, vivyo hivyo imani bila matendo imekufa. Neno: Bibilia Takatifu Kama vile mwili pasipo roho umekufa, kadhalika nayo imani pasipo matendo imekufa. Neno: Maandiko Matakatifu Kama vile ambavyo mwili pasipo roho umekufa, kadhalika nayo imani pasipo matendo imekufa. BIBLIA KISWAHILI Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa. |
Wewe wauficha uso wako, Wao wanafadhaika; Waiondoa pumzi yao, wanakufa, Na kuyarudia mavumbi yao,
Mwacheni mwanadamu ambaye pumzi yake iko katika mianzi ya pua yake; kwa maana wanafaa kitu gani?
Maana katika Kristo Yesu kutahiriwa hakufai neno, wala kutotahiriwa, bali imani itendayo kazi kwa upendo.
Ndugu zangu, yafaa nini, mtu akisema ya kwamba anayo imani, lakini hana matendo? Je! Ile imani yaweza kumwokoa?