Zaburi 146:4 - Swahili Revised Union Version4 Pumzi yake inapomtoka, anarudi katika udongo wake, Siku iyo hiyo mipango yake hutoweka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Binadamu akitoa pumzi yake ya mwisho, anarudi mavumbini alimotoka; na hapo mipango yake yote hutoweka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Roho yao itokapo hurudi mavumbini, siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Pumzi yake inapomtoka, anarudi katika udongo wake, Siku hiyo hiyo mipango yake hutoweka. Tazama sura |
Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu; nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako; na wewe, na wakuu wako, na wake zako, na masuria wako, mmevinywea; nawe umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe; wasioona, wala kusikia, wala kujua neno lolote; na Mungu yule, ambaye pumzi yako i mkononi mwake, na njia zako zote ni zake, hukumtukuza.