Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Mwanzo 41:2 - Swahili Revised Union Version Na tazama, ng'ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Biblia Habari Njema - BHND akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Neno: Bibilia Takatifu wakati ng’ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete. Neno: Maandiko Matakatifu wakati ng’ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete. BIBLIA KISWAHILI Na tazama, ng'ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini. |
Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto.
Na tazama, ng'ombe saba wengine wakapanda nyuma yao kutoka mtoni, wabaya, wamekonda, wakasimama karibu na wale ng'ombe wengine ukingoni mwa mto.
Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka.
Vitu vimeavyo karibu na Nile, katika ukingo wa Nile, na vyote vilivyopandwa karibu na Nile vitakauka na kuondolewa na kutoweka.