Mwanzo 41:1 - Swahili Revised Union Version1 Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: Alijikuta amesimama kando ya mto Nili, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: Alijikuta amesimama kando ya mto Nili, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Baada ya miaka miwili mizima, Farao aliota ndoto: alijikuta amesimama kando ya mto Nili, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto. Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Naili, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Baada ya miaka miwili kamili kupita, Farao aliota ndoto: Tazama alikuwa amesimama kando ya Mto Naili, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ikawa, baada ya miaka miwili mizima, Farao akaota ndoto; na tazama, amesimama kando ya mto. Tazama sura |