Mwanzo 41:2 - Swahili Revised Union Version2 Na tazama, ng'ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 akaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 wakati ng’ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 wakati ng’ombe saba, wazuri na wanono, walitokea mtoni wakajilisha kwenye matete. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Na tazama, ng'ombe saba wazuri, wanono, walipanda kutoka mtoni, wakajilisha manyasini. Tazama sura |