Mwanzo 40:23 - Swahili Revised Union Version23 Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Hata hivyo, yule mtunza vinywaji mkuu akamsahau Yosefu, badala ya kumkumbuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Lakini mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Pamoja na hayo, mnyweshaji mkuu hakumkumbuka Yusufu, bali alimsahau. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Lakini huyo mkuu wa wanyweshaji hakumkumbuka Yusufu, alimsahau. Tazama sura |