Yobu 8:11 - Swahili Revised Union Version11 Je! Hayo mafunjo yamea pasipo matope Na makangaga kumea pasipo maji? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mafunjo huota tu penye majimaji, matete hustawi mahali palipo na maji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Je, mafunjo yaweza kumea mahali pasipo na matope? Matete yaweza kustawi bila maji? Tazama sura |