Yobu 8:12 - Swahili Revised Union Version12 Yakiwa yangali mabichi bado, wala hayakukatwa, Hunyauka mbele ya majani mengine. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Hata kama yamechanua na bila kukatwa, yakikosa maji hunyauka kabla ya mimea mingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Hata kama yamechanua na bila kukatwa, yakikosa maji hunyauka kabla ya mimea mingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Hata kama yamechanua na bila kukatwa, yakikosa maji hunyauka kabla ya mimea mingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, hunyauka haraka kuliko majani mengine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Wakati bado yanaendelea kukua kabla ya kukatwa, hunyauka haraka kuliko majani mengine. Tazama sura |