Isaya 19:6 - Swahili Revised Union Version6 Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mifereji yake itatoa uvundo, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na mafunjo yake yataoza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mifereji yake itatoa uvundo, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na mafunjo yake yataoza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mifereji yake itatoa uvundo, vijito vyake vitapunguka na kukauka. Nyasi na mafunjo yake yataoza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mifereji itanuka; vijito vya Misri vitapungua na kukauka. Matete na nyasi vitanyauka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mifereji itanuka; vijito vya Misri vitapungua na kukauka. Mafunjo na nyasi vitanyauka, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Na vijito vya mto vitatoa uvundo, na mifereji ya Misri itakuwa haina maji mengi, itakauka; manyasi na mianzi itanyauka. Tazama sura |