Isaya 19:5 - Swahili Revised Union Version5 Na maji ya baharini yatapunguka, na huo mto utakauka na kuwa pakavu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Maji ya mto Nili yatakaushwa, nao utakauka kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Maji ya mto Nili yatakaushwa, nao utakauka kabisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Maji ya mto Nili yatakaushwa, nao utakauka kabisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Maji ya mito yatakauka, chini ya mto kutakauka kwa jua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Maji ya mito yatakauka, chini ya mto kutakauka kwa jua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Na maji ya baharini yatapunguka, na huo mto utakauka na kuwa pakavu. Tazama sura |
Basi, nilipokuja, mbona hapakuwa na mtu? Nilipoita, mbona hapakuwa na mtu aliyenijibu? Je! Mkono wangu ni mfupi, hata nisiweze kukomboa? Au je! Mimi sina nguvu za kuponya? Tazama, kwa kukemea kwangu naikausha bahari, mito ya maji naifanya kuwa jangwa; samaki wao wanuka kwa sababu hapana maji, nao wafa kwa kiu.