Isaya 19:4 - Swahili Revised Union Version4 Nami nitawatoa hao Wamisri na kuwatia katika mikono ya bwana mgumu; na mfalme mkali atawatawala; asema Bwana, BWANA wa majeshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana katili, mfalme mkali ambaye atawatawala. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu wa majeshi, nimenena.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana mkatili na mfalme mkali atawatawala,” asema Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Nitawatia Wamisri mikononi mwa bwana mkatili na mfalme mkali atatawala juu yao,” asema Bwana, bwana Mwenye Nguvu Zote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Nami nitawatoa hao Wamisri na kuwatia katika mikono ya bwana mgumu; na mfalme mkali atawatawala; asema Bwana, BWANA wa majeshi. Tazama sura |