Mwanzo 41:18 - Swahili Revised Union Version18 na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha nyasini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 nikaona ng'ombe saba wazuri na wanono wakitoka mtoni na kula nyasi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nikawaona ng’ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni, wakaja kujilisha kwenye matete. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 nikawaona ng’ombe saba, wazuri na wanono, wakijitokeza kutoka mtoni wakaja kujilisha kwenye matete. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 na tazama, ng'ombe saba wanatoka mtoni, wanono, wazuri, wakajilisha nyasini. Tazama sura |