Mwanzo 41:17 - Swahili Revised Union Version17 Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa mto; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Hapo Farao akamwambia Yosefu, “Niliota kwamba nimesimama kando ya mto Nili, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa Mto Naili, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Farao akamwambia Yusufu, Katika ndoto yangu nilikuwa nimesimama ukingoni mwa mto; Tazama sura |