Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mwanzo 1:4 - Swahili Revised Union Version Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza, Biblia Habari Njema - BHND Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza, Neno: Bibilia Takatifu Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema; ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza. Neno: Maandiko Matakatifu Mwenyezi Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mwenyezi Mungu akatenganisha nuru na giza. BIBLIA KISWAHILI Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza. |
Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.
Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote.