Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 1:4 - Swahili Revised Union Version

4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Mungu akauona mwanga kuwa ni mwema. Kisha Mungu akautenganisha mwanga na giza,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema; ndipo Mungu akatenganisha nuru na giza.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Mwenyezi Mungu akaona ya kuwa nuru ni njema, ndipo Mwenyezi Mungu akatenganisha nuru na giza.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 1:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.


Nchi ikatoa majani, mche utoao mbegu kwa jinsi yake, na mti uzaao matunda, ambao mbegu zake zimo ndani yake, kwa jinsi yake; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.


na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.


Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.


Mungu akaona kila kitu alichokifanya, na tazama, ni chema sana. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya sita.


Ee BWANA, kazi zako zote zitakushukuru, Na wacha Mungu wako watakuhimidi.


BWANA ni mwema kwa watu wote, Na rehema zake ziko juu ya vyote alivyoumba.


Kweli nuru ni tamu, tena ni jambo la kupendeza macho kutazama jua.


Ndipo nilipoona ya kuwa kweli hekima hupita upumbavu, kwa kadiri nuru ipitavyo giza;


Mimi naiumba nuru, na kulihuluku giza; mimi nafanya suluhu, na kuhuluku ubaya; Mimi ni BWANA, niyatendaye hayo yote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo