Mwanzo 1:18 - Swahili Revised Union Version18 na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 ipate kutawala mchana na usiku, na kuutenga mwanga na giza. Mungu akaona kuwa ni vyema. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mungu akaona kuwa hili ni jema. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 itawale usiku na mchana, na ikatenganishe nuru na giza. Mwenyezi Mungu akaona kuwa hili ni jema. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 na kuutawala mchana na usiku na kutenga nuru na giza; Mungu akaona ya kuwa ni vyema. Tazama sura |