Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 1:17 - Swahili Revised Union Version

17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mungu akaiweka mianga hiyo angani iiangazie dunia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mungu akaiweka mianga hiyo angani iiangazie dunia,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mungu akaiweka mianga hiyo angani iiangazie dunia,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mungu akaiweka hiyo mianga katika nafasi ya anga iangaze dunia,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mwenyezi Mungu akaiweka katika nafasi ya anga iangaze dunia,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

17 Mungu akaiweka katika anga la mbingu, itie nuru juu ya nchi

Tazama sura Nakili




Mwanzo 1:17
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.


Je! Umeiamuru asubuhi tangu siku zako zilipoanza? Umeyajulisha mapambazuko mahali pake?


Ee, MUNGU, Bwana wetu Jinsi lilivyo tukufu jina lako duniani kote! Wewe umeuweka utukufu wako mbinguni;


Nikiziangalia mbingu zako, kazi ya vidole vyako, Mwezi na nyota ulizoziratibisha;


BWANA asema hivi, Kama mkiweza kulivunja agano langu la mchana, na agano langu la usiku, hata usiwepo tena mchana na usiku kwa wakati wake,


BWANA asema hivi, Ikiwa agano langu la mchana na usiku sikuliweka imara, ikiwa mimi sikuziamuru kawaida za mbingu na dunia;


Kwa sababu ndivyo tulivyoamriwa na Bwana, Nimekuweka uwe nuru ya Mataifa, Upate kuwa wokovu hata mwisho wa dunia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo