Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 1:10 - Swahili Revised Union Version

10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Mungu akapaita mahali pakavu “Nchi” na kusanyiko la maji akaliita “Bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Mungu akapaita mahali pakavu “Nchi” na kusanyiko la maji akaliita “Bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Mungu akapaita mahali pakavu “Nchi” na kusanyiko la maji akaliita “Bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Mungu akaiita nchi kavu “ardhi”, nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mungu akaona kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Mwenyezi Mungu akaiita nchi kavu “ardhi,” nalo lile kusanyiko la maji akaliita “bahari.” Mwenyezi Mungu akaona kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 1:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.

Utukufu wa BWANA na udumu milele; BWANA na ayafurahie matendo yake.

Aliyezifanya mbingu na nchi, Bahari na vitu vyote vilivyomo. Huishika kweli milele,

Hukusanya maji ya bahari chungu chungu, Huviweka vilindi katika ghala.

Bahari ni yake, ndiye aliyeifanya, Na mikono yake iliumba nchi kavu.

Akawaambia, Mimi ni Mwebrania; nami namcha BWANA, Mungu wa mbingu, aliyeziumba bahari na nchi kavu.

Yeye Mwamba, kazi yake ni kamilifu; Maana, njia zake zote ni haki. Mungu wa uaminifu, asiye na uovu, Yeye ndiye mwenye haki na adili.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo