Mwanzo 1:11 - Swahili Revised Union Version11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mimea itoayo mbegu, na miti ya matunda izaayo matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea: mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Kisha Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Kisha Mwenyezi Mungu akasema, “Ardhi na itoe mimea: miche itoayo mbegu, miti juu ya nchi itoayo matunda yenye mbegu ndani yake, kila mmea kulingana na aina zake mbalimbali.” Ikawa hivyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mimea itoayo mbegu, na miti ya matunda izaayo matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo. Tazama sura |