Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia hekima mtu asiye nayo.
Methali 8:5 - Swahili Revised Union Version Enyi wajinga, fahamuni werevu, Nanyi wapumbavu, mpate moyo wa kufahamu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu. Biblia Habari Njema - BHND Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Enyi wajinga, jifunzeni kuwa na akili; sikilizeni kwa makini enyi wapumbavu. Neno: Bibilia Takatifu Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. Neno: Maandiko Matakatifu Ninyi ambao ni wajinga, pateni akili; ninyi mlio wapumbavu, pateni ufahamu. BIBLIA KISWAHILI Enyi wajinga, fahamuni werevu, Nanyi wapumbavu, mpate moyo wa kufahamu. |
Sheria ya BWANA ni kamilifu, Huiburudisha nafsi. Ushuhuda wa BWANA ni amini, Humtia hekima mtu asiye nayo.
Enyi wajinga, hata lini mtapenda ujinga? Na wenye dharau kupenda dharau yao, Na wapumbavu kuchukia maarifa?
BWANA atatokea kama shujaa; Ataamsha wivu kama mtu wa vita; Atalia, naam, atapiga kelele; Atawatenda adui zake mambo makuu.
uwafumbue macho yao, na kuwageuza waiache giza na kuielekea nuru, waziache na nguvu za Shetani na kumwelekea Mungu; kisha wapate msamaha wa dhambi zao, na urithi miongoni mwao waliotakaswa kwa imani iliyo kwangu mimi.
tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;