Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake BWANA alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma.
Methali 6:35 - Swahili Revised Union Version Hatakubali fidia yoyote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hatakubali fidia yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi. Biblia Habari Njema - BHND Hatakubali fidia yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hatakubali fidia yoyote; wala kutulizwa na zawadi zako nyingi. Neno: Bibilia Takatifu Hatakubali fidia yoyote; atakataa malipo, hata yakiwa makubwa kiasi gani. Neno: Maandiko Matakatifu Hatakubali fidia yoyote; atakataa malipo, hata yakiwa makubwa kiasi gani. BIBLIA KISWAHILI Hatakubali fidia yoyote; Wala hatakuwa radhi, ujapomlipa vitu vingi. |
Basi Naamani, jemadari wa jeshi la mfalme wa Shamu, alikuwa mtu mkubwa mbele ya bwana wake, na mwenye kuheshimiwa, kwa sababu kwa mkono wake BWANA alikuwa amewapa Washami kushinda; tena alikuwa mtu hodari wa vita; lakini alikuwa mwenye ukoma.
Maji mengi hayawezi kuuzimisha upendo, Wala mito haiwezi kuuzamisha; Kama mtu angetoa badala ya upendo Mali yote ya nyumbani mwake, Angedharauliwa kabisa.
Tazama, nitawaamsha Wamedi juu yao, ambao hawaoni fedha kuwa kitu, wala hawafurahii dhahabu.
Kwa sababu hiyo mimi nami nimewafanya ninyi kuwa kitu cha kudharauliwa, na unyonge, mbele ya watu wote, kama vile ninyi msivyozishika njia zangu, bali mmewapendelea watu katika sheria.