Methali 8:25 - Swahili Revised Union Version25 Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nilizaliwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Kabla ya milima haijaumbwa, na vilima kusimamishwa mahali pake, mimi nilikuwako tayari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 kabla milima haijawekwa mahali pake, kabla vilima havijakuwepo, nilikwishazaliwa, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 Kabla milima haijawekwa imara, Kabla ya vilima nilizaliwa. Tazama sura |