Methali 8:26 - Swahili Revised Union Version26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Kabla Mungu hajaumba dunia na mashamba yake, wala chembe za kwanza za mavumbi ya dunia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 kabla hajaumba dunia wala mashamba yake au vumbi lolote la dunia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia; Tazama sura |