Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 8:27 - Swahili Revised Union Version

27 Alipozithibitisha mbingu nilikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Nilikuwako wakati alipoziweka mbingu, wakati alipopiga duara juu ya bahari;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Nilikuwako wakati alipoziweka mbingu, wakati alipopiga duara juu ya bahari;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Nilikuwako wakati alipoziweka mbingu, wakati alipopiga duara juu ya bahari;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho kwenye uso wa kilindi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Nilikuwepo alipoziweka mbingu mahali pake, wakati alichora mstari wa upeo wa macho juu ya uso wa kilindi,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Alipozithibitisha mbingu nilikuwako; Alipopiga duara katika uso wa bahari;

Tazama sura Nakili




Methali 8:27
12 Marejeleo ya Msalaba  

Amepiga duara kuwa ni mpaka juu ya uso wa maji, Hata hapo mwanga na giza vinapopakana.


BWANA ameweka kiti chake cha enzi mbinguni, Na ufalme wake unavitawala vitu vyote.


Yeye aliyeumba mbingu kwa fahamu zake; Kwa maana fadhili zake ni za milele.


Kwa neno la BWANA mbingu ziliumbwa, Na jeshi lake lote kwa pumzi ya kinywa chake.


Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;


Alipokuwa hajaiumba dunia, wala mashamba Wala chanzo cha udongo wa dunia;


Alipofanya imara mawingu yaliyo juu; Chemchemi za bahari zilipopata nguvu;


Atalilisha kundi lake kama mchungaji, Atawakusanya wana-kondoo mikononi mwake; Na kuwachukua kifuani mwake, Nao wanyonyeshao atawaongoza polepole.


Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;


Ameiumba dunia kwa uweza wake, Ameuthibitisha ulimwengu kwa hekima yake, Na kwa ufahamu wake amezitandika mbingu.


Kwa kuwa katika yeye vitu vyote viliumbwa, vilivyo mbinguni na vilivyo juu ya nchi, vinavyoonekana na visivyoonekana; ikiwa ni vitu vya enzi, au milki, au enzi, au mamlaka; vitu vyote viliumbwa kwa njia yake, na kwa ajili yake.


mwisho wa siku hizi amesema na sisi katika Mwana, aliyemweka kuwa mrithi wa yote, tena kwa yeye aliufanya ulimwengu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo