Isaya 13:17 - Swahili Revised Union Version17 Tazama, nitawaamsha Wamedi juu yao, ambao hawaoni fedha kuwa kitu, wala hawafurahii dhahabu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 “Ninawachochea Wamedi dhidi yao; watu ambao hawajali fedha wala hawavutiwi na dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 “Ninawachochea Wamedi dhidi yao; watu ambao hawajali fedha wala hawavutiwi na dhahabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 “Ninawachochea Wamedi dhidi yao; watu ambao hawajali fedha wala hawavutiwi na dhahabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, ambao hawajali fedha wala hawafurahii dhahabu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Tazama, nitawachochea Wamedi dhidi yao, ambao hawajali fedha wala hawafurahii dhahabu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Tazama, nitawaamsha Wamedi juu yao, ambao hawaoni fedha kuwa kitu, wala hawafurahii dhahabu. Tazama sura |