Methali 4:3 - Swahili Revised Union Version3 Maana nilikuwa mwana kwa baba yangu, Mpole, mpenzi wa pekee wa mama yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mimi pia nilikuwa mtoto mwenye baba, nilikuwa mpole, kipenzi cha mama yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mimi pia nilikuwa mtoto mwenye baba, nilikuwa mpole, kipenzi cha mama yangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mimi pia nilikuwa mtoto mwenye baba, nilikuwa mpole, kipenzi cha mama yangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Nilipokuwa mvulana mdogo katika nyumba ya baba yangu, ningali mchanga na mtoto pekee kwa mama yangu, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Maana nilikuwa mwana kwa baba yangu, Mpole, mpenzi wa pekee wa mama yangu. Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.