Methali 7:1 - Swahili Revised Union Version1 Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Mwanangu, yashike maneno yangu, zihifadhi kwako amri zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Mwanangu, yashike maneno yangu, zihifadhi kwako amri zangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Mwanangu, yashike maneno yangu, zihifadhi kwako amri zangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Mwanangu, shika maneno yangu na kuzihifadhi amri zangu ndani yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Mwanangu, shika maneno yangu na kuzihifadhi amri zangu ndani yako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Mwanangu, yashike maneno yangu, Na kuziweka amri zangu akiba kwako. Tazama sura |