Methali 4:8 - Swahili Revised Union Version Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mthamini sana Hekima, naye atakutukuza; ukimshikilia atakupa heshima. Biblia Habari Njema - BHND Mthamini sana Hekima, naye atakutukuza; ukimshikilia atakupa heshima. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mthamini sana Hekima, naye atakutukuza; ukimshikilia atakupa heshima. Neno: Bibilia Takatifu Mstahi, naye atakukweza; mkumbatie, naye atakuheshimu. Neno: Maandiko Matakatifu Mstahi, naye atakukweza; mkumbatie, naye atakuheshimu. BIBLIA KISWAHILI Umtukuze, naye atakukuza; Atakupatia heshima, ukimkumbatia. |
Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.
Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele.
Kwa sababu hiyo, BWANA, Mungu wa Israeli, asema, Ni kweli, nilisema ya kuwa nyumba yako, na nyumba ya baba yako itakwenda mbele zangu milele; lakini sasa BWANA asema, Jambo hili na liwe mbali nami; kwa maana wao wanaoniheshimu nitawaheshimu, na wao wanaonidharau nitawadharau.