Methali 22:4 - Swahili Revised Union Version4 Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: Fanaka, heshima na uhai. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: Fanaka, heshima na uhai. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ukinyenyekea na kumcha Mwenyezi-Mungu, utapata tuzo: fanaka, heshima na uhai. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Unyenyekevu na kumcha Mwenyezi Mungu huleta utajiri, heshima na uzima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Unyenyekevu na kumcha bwana huleta utajiri, heshima na uzima. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima. Tazama sura |