Danieli 12:3 - Swahili Revised Union Version3 Na walio na hekima watang'aa kama mwangaza wa anga; na hao waongozao wengi kutenda haki watang'aa kama nyota milele na milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wale wenye hekima watangaa kama anga angavu, na wale waliowaongoza wengine kutenda mema, watangaa kama nyota milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wale wenye hekima watangaa kama anga angavu, na wale waliowaongoza wengine kutenda mema, watangaa kama nyota milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wale wenye hekima watang'aa kama anga angavu, na wale waliowaongoza wengine kutenda mema, watang'aa kama nyota milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wale wenye hekima watang’aa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watang’aa kama nyota milele na milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wale wenye hekima watang’aa kama mwanga wa mbingu, nao wale ambao huwaongoza wengi kutenda haki, watang’aa kama nyota milele na milele. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19373 Ndipo, wafunzi watakapoangaza kama mwangaza wa mbinguni, nao walioongoza wengi, wapate wongofu, wataangaza kama nyota kale na kale zamani zote. Tazama sura |