Danieli 12:2 - Swahili Revised Union Version2 Tena, wengi wa hao wanaolala katika mavumbi ya nchi wataamka, wengine wapate uzima wa milele, wengine aibu na kudharauliwa milele. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wengi wa wale ambao wamekwisha kufa, watafufuka; wengine watapata uhai wa milele, na wengine watapata uhai na kudharauliwa milele. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wengi wa wale ambao wamekwisha kufa, watafufuka; wengine watapata uhai wa milele, na wengine watapata uhai na kudharauliwa milele. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wengi wa wale ambao wamekwisha kufa, watafufuka; wengine watapata uhai wa milele, na wengine watapata uhai na kudharauliwa milele. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Wengi ambao wamelala kwenye mavumbi wataamka, baadhi yao kwa uzima wa milele, wengine kwa aibu na kudharauliwa milele. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19372 Nao wengi walalao ndani ya nchi uvumbini wataamka, wengine kupata uzima wa kale na kale, wengine kutwezwa na kuchukizwa kale na kale. Tazama sura |