Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Methali 4:21 - Swahili Revised Union Version Zisiondoke machoni pako; Uzihifadhi ndani ya moyo wako. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiyaache yatoweke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako. Biblia Habari Njema - BHND Usiyaache yatoweke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiyaache yatoweke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako. Neno: Bibilia Takatifu Usiruhusu yaondoke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako; Neno: Maandiko Matakatifu Usiruhusu yaondoke machoni pako, yahifadhi ndani ya moyo wako; BIBLIA KISWAHILI Zisiondoke machoni pako; Uzihifadhi ndani ya moyo wako. |
Kuyafanya mapenzi yako, Ee Mungu wangu, ndiyo furaha yangu; Naam, sheria yako imo moyoni mwangu.
Rehema na kweli zisiachane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako.
Lakini, jihadhari nafsi yako, ukailinde roho yako kwa bidii, usije ukayasahau mambo yale uliyoyaona kwa macho yako, yakaondoka moyoni mwako siku zote za maisha yako; bali uwajulishe watoto wako na watoto wa watoto wako;