Methali 3:3 - Swahili Revised Union Version3 Rehema na kweli zisiachane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Utii na uaminifu visitengane nawe. Vifunge shingoni mwako; viandike moyoni mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Utii na uaminifu visitengane nawe. Vifunge shingoni mwako; viandike moyoni mwako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Utii na uaminifu visitengane nawe. Vifunge shingoni mwako; viandike moyoni mwako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; vifunge shingoni mwako, viandike katika ubao wa moyo wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Usiache kamwe upendo na uaminifu vitengane nawe; vifunge shingoni mwako, viandike katika ubao wa moyo wako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Rehema na kweli zisiachane nawe; Zifunge shingoni mwako; Ziandike juu ya kibao cha moyo wako. Tazama sura |