Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
Methali 31:3 - Swahili Revised Union Version Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme. Biblia Habari Njema - BHND Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme. Neno: Bibilia Takatifu Usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. Neno: Maandiko Matakatifu usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme. BIBLIA KISWAHILI Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme. |
Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,
Je! Sulemani, mwana wa Daudi, hakufanya dhambi kwa kutenda hayo? Lakini katika mataifa mengi hapakuwa na mfalme mwingine mfano wake. Tena alipendwa na Mungu wake, naye Mungu akamfanya mfalme juu ya Israeli; lakini wanawake wageni walimkosesha hata yeye.
Wala asijizidishie wake, ili moyo wake usikengeuke; wala asifanye fedha zake na dhahabu kuwa nyingi mno.