Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 31:3 - Swahili Revised Union Version

3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Usimalize nguvu zako kwa wanawake, usiwape mali yako hao wanaoangamiza wafalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 usitumie nguvu zako kwa wanawake, uhodari wako kwa wale wanaowaharibu wafalme.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Usiwape wanawake nguvu zako; Wala moyo wako usiwape wale wanaowaharibu wafalme.

Tazama sura Nakili




Methali 31:3
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme Sulemani akawapenda wanawake wengi wageni, pamoja na binti yake Farao, wanawake wa Wamoabi, na wa Waamoni, na wa Waedomi, na wa Wasidoni, na wa Wahiti,


Je! Sulemani, mwana wa Daudi, hakufanya dhambi kwa kutenda hayo? Lakini katika mataifa mengi hapakuwa na mfalme mwingine mfano wake. Tena alipendwa na Mungu wake, naye Mungu akamfanya mfalme juu ya Israeli; lakini wanawake wageni walimkosesha hata yeye.


Uzinzi na divai mpya huondoa fahamu za wanadamu.


Wala asijizidishie wake, ili moyo wake usikengeuke; wala asifanye fedha zake na dhahabu kuwa nyingi mno.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo