Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Methali 31:2 - Swahili Revised Union Version

2 Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Nikuambie nini mwanangu? Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa? Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Nikuambie nini mwanangu? Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa? Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Nikuambie nini mwanangu? Nikuambie nini mwanangu niliyekuzaa? Nikuambie nini wewe niliyekuomba kwa Mungu?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 “Sikiliza, ee mwanangu! Sikiliza, ee mwana wa tumbo langu! Sikiliza, ee mwana wa nadhiri zangu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 “Ee mwanangu, ee mwana wa tumbo langu, ee mwana wa nadhiri zangu:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Ni nini, mwanangu? Tena ni nini, mwana wa tumbo langu? Tena, ni nini mwana wa nadhiri zangu?

Tazama sura Nakili

Methali 31:2
4 Marejeleo ya Msalaba  

Maneno ya mfalme Lemueli; mausia aliyofundishwa na mama yake.

Je! Mwanamke aweza kumsahau mtoto wake anyonyaye, hata asimhurumie mwana wa tumbo lake? Naam, hawa waweza kusahau, lakini mimi sitakusahau wewe.

Akaweka nadhiri, akasema, Ee BWANA wa majeshi, ikiwa wewe utayaangalia mateso la mjakazi wako, na kunikumbuka, wala usinisahau mimi mjakazi wako, na kunipa mimi mjakazi wako mtoto wa kiume, ndipo mimi nitakapompa BWANA huyo mtoto siku zote za maisha yake, wala wembe hautamfikia kichwani kamwe.

kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo