Methali 3:12 - Swahili Revised Union Version Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi. Biblia Habari Njema - BHND maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi. Neno: Bibilia Takatifu kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye. Neno: Maandiko Matakatifu kwa sababu bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye. BIBLIA KISWAHILI Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye. |
Nawe fikiri moyoni mwako, ya kuwa kama vile baba amrudivyo mwanawe, ndivyo BWANA, Mungu wako, akurudivyo.