Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 29:17 - Swahili Revised Union Version

17 Mrudi mwanao naye atakustarehesha; Naam, atakufurahisha nafsi yako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mpe nidhamu mwanao naye hatakupa wasiwasi; yeye ataufurahisha moyo wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mpe nidhamu mwanao naye hatakupa wasiwasi; yeye ataufurahisha moyo wako.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mpe nidhamu mwanao naye hatakupa wasiwasi; yeye ataufurahisha moyo wako.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mkanye mwanao, naye atakupa amani; atakuletea furaha unayotamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mrudi mwanao, naye atakupa amani, atakufurahisha nafsi yako.

Tazama sura Nakili




Methali 29:17
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mwana mwenye hekima humfurahisha babaye; Bali mwana mpumbavu ni mzigo wa mamaye.


Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; Bali yeye ampendaye humrudi mapema.


Mrudi mwanao, kwa maana liko tumaini; Wala usiikaze nafsi yako kwa kuangamia kwake.


Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.


Fimbo na maonyo hutia hekima; Bali mwana aliyeachiliwa humwaibisha mamaye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo