Methali 27:12 - Swahili Revised Union Version Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Mwenye busara huona hatari akajificha, lakini mjinga hujitokeza mbele akaumia. Biblia Habari Njema - BHND Mwenye busara huona hatari akajificha, lakini mjinga hujitokeza mbele akaumia. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Mwenye busara huona hatari akajificha, lakini mjinga hujitokeza mbele akaumia. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele, naye hupata madhara. Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye busara huona hatari na kujificha, bali mjinga huendelea mbele nayo ikamtesa. BIBLIA KISWAHILI Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. |
Na alipoona wengi miongoni mwa Mafarisayo na Masadukayo wakiujia ubatizo wake, aliwaambia, Enyi wazawa wa nyoka, ni nani aliyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?
Kwa imani Nuhu akiisha kuonywa na Mungu katika habari za mambo yasiyoonekana bado, kwa jinsi alivyomcha Mungu, aliunda safina, apate kuiokoa nyumba yake. Na hivyo akauhukumu makosa ulimwengu, akawa mrithi wa haki ipatikanayo kwa imani.
ili kwa vitu viwili visivyoweza kubadilika, ambavyo katika hivyo Mungu hawezi kusema uongo, tupate faraja iliyo imara, sisi tuliokimbilia kuyashika matumaini yale yawekwayo mbele yetu;
Lakini mbingu za sasa na nchi zimewekwa akiba kwa moto, kwa neno lilo hilo, zikilindwa hata siku ya hukumu, na ya kuangamia kwao wanadamu wasiomcha Mungu.