Methali 24:5 - Swahili Revised Union Version Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Biblia Habari Njema - BHND Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kuwa na hekima ni bora kuliko kuwa na nguvu, naam, maarifa ni bora kuliko nguvu. Neno: Bibilia Takatifu Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, Neno: Maandiko Matakatifu Mtu mwenye hekima ana uwezo mkubwa, naye mtu mwenye maarifa huongeza nguvu, BIBLIA KISWAHILI Mtu mwenye hekima ana nguvu; Naam, mtu wa maarifa huongeza uwezo; |
Nasema, mashauri yako, na nguvu zako kwa vita, ni maneno yasiyo na maana; basi, unamtumaini nani hata ukaniasi mimi?
bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
mkiwezeshwa kwa uwezo wote, kwa kadiri ya nguvu ya utukufu wake, mpate kuwa na subira ya kila namna na uvumilivu pamoja na furaha;