Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 10:29 - Swahili Revised Union Version

29 Njia ya BWANA ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Mwenyezi-Mungu ni ngome ya wanyofu, lakini watendao maovu atawaangamiza.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Njia ya Mwenyezi Mungu ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Njia ya bwana ni kimbilio kwa wenye haki, lakini ni maangamizi ya wale watendao mabaya.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

29 Njia ya BWANA ni kimbilio lake mtu mkamilifu; Bali ni uharibifu kwao watendao maovu.

Tazama sura Nakili




Methali 10:29
16 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Siyo msiba kwa wasio haki, Na hasara kwao watendao uovu?


Kwa kuwa BWANA anaijua njia ya wenye haki, Bali njia ya wasio haki itapotea.


Huko ndiko walikoanguka wafanyao maovu; Wameangushwa chini wasiweze kusimama.


Bali wasio haki watapotea, Nao wamchukiao BWANA watatoweka, Kama uzuri wa mashamba, Kama moshi watatoweka.


Huendelea toka nguvu hata nguvu, Huonekana Sayuni kila mmoja mbele za Mungu.


Hata wasio haki wakichipuka kama majani Na wote watendao maovu wakastawi. Mwishowe wataangamizwa milele;


Mtu mwovu atakapokufa, taraja lake linapotea; Na matumaini ya uovu huangamia.


Haki humlinda yeye aliye mnyofu katika njia yake; Bali ubaya humwangusha mwenye dhambi.


Ni furaha yao wenye haki kutenda hukumu; Lakini ni uharibifu kwao watendao maovu.


bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watakimbia, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.


Ni nani aliye na hekima, naye atayafahamu mambo haya? Ni nani aliye na busara, naye atayajua? Kwa maana njia za BWANA zimenyoka, nao wenye haki watakwenda katika njia hizo; bali waasio wataanguka ndani yake.


Nami nitawatia nguvu katika BWANA; nao watatembea huku na huko katika jina lake, asema BWANA.


Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo