Methali 10:28 - Swahili Revised Union Version28 Matumaini yao wenye haki yatakuwa furaha; Bali matarajio yao wasio haki yatapotea. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Tumaini la mwadilifu huishia kwenye furaha, lakini tazamio la mwovu huishia patupu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Tumaini la mwadilifu huishia kwenye furaha, lakini tazamio la mwovu huishia patupu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Tumaini la mwadilifu huishia kwenye furaha, lakini tazamio la mwovu huishia patupu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Tarajio la mwenye haki ni furaha, bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Tarajio la mwenye haki ni furaha, bali matumaini ya mwovu huwa si kitu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI28 Matumaini yao wenye haki yatakuwa furaha; Bali matarajio yao wasio haki yatapotea. Tazama sura |