Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Methali 10:27 - Swahili Revised Union Version

27 Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Kumcha Mwenyezi-Mungu hurefusha maisha, lakini miaka ya waovu itakuwa mifupi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Kumcha Mwenyezi Mungu huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Kumcha bwana huongeza urefu wa maisha, lakini miaka ya mwovu inafupishwa.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

27 Kumcha BWANA kwaongeza siku za mtu; Bali miaka yao wasio haki itapunguzwa.

Tazama sura Nakili




Methali 10:27
16 Marejeleo ya Msalaba  

Alikuomba uhai, ukampa, Muda mrefu wa siku nyingi, milele na milele.


Nawe, Ee Mungu, utawateremsha, Wafikie shimo la uharibifu; Watu wa damu na hila hawataishi nusu ya siku zao, Bali mimi nitakutumaini Wewe.


Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonesha wokovu wangu.


Watangaze ya kuwa BWANA ni mwenye adili, Mwamba wangu, ndani yake hamna udhalimu.


Kumcha BWANA ni chemchemi ya uzima, Ili kuepukana na tanzi za mauti.


Aendaye kwa unyofu ataokolewa; Bali mkaidi wa njia zake ataanguka mara.


Ana wingi wa siku katika mkono wake wa kulia, Utajiri na heshima katika mkono wake wa kushoto.


Maana zitakuongezea wingi wa siku. Na miaka ya uzima, na amani.


Maana, kwa msaada wangu siku zako zitazidishwa; Na miaka ya maisha yako itaongezwa.


Usiwe mwovu kupita kiasi; Wala usiwe mpumbavu; Kwa nini ufe kabla ya wakati wako?


Kama kware akusanyaye makinda asiyoyaangua, ndivyo alivyo mtu ajipatiaye mali, wala si kwa haki, katikati ya maisha yake itamtoka, na mwisho wake atakuwa mpumbavu.


Lakini Mungu akamwambia, Mpumbavu wewe, usiku huu wa leo wanataka roho yako! Na vitu ulivyojiwekea tayari vitakuwa vya nani?


nanyi mpate kuzifanya siku zenu kuwa nyingi juu ya nchi BWANA aliyowaapia baba zenu, ya kuwa atawapa wao na kizazi chao, nchi imiminikayo maziwa na asali


Tufuate:

Matangazo


Matangazo