Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Methali 24:1 - Swahili Revised Union Version Usiwawaonee wivu watu waovu, Wala usitamani kuwa pamoja nao; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, Biblia Habari Njema - BHND Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Usiwaonee wivu watu waovu, wala usitamani kuwa pamoja nao, Neno: Bibilia Takatifu Usiwaonee wivu watu waovu, usitamani ushirika nao; Neno: Maandiko Matakatifu Usiwaonee wivu watu waovu, usitamani ushirika nao; BIBLIA KISWAHILI Usiwaonee wivu watu waovu, Wala usitamani kuwa pamoja nao; |
Heri mtu yule asiyekwenda Katika shauri la wasio haki; Wala hakusimama katika njia ya wenye dhambi; Wala hakuketi barazani pa wenye mizaha.
Utulie mbele za BWANA, Nawe umngojee kwa subira; Usihangaike juu ya afanikiwaye katika njia yake, Wala mtu apangaye maovu.