Methali 23:17 - Swahili Revised Union Version17 Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche BWANA mchana kutwa; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Moyo wako usiwaonee wivu wenye dhambi, ila endelea kumcha Mwenyezi-Mungu siku zote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Usiuruhusu moyo wako kuwaonea wivu wenye dhambi, bali kila mara uwe na bidii katika kumcha bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Moyo wako usiwahusudu wenye dhambi; Bali mche BWANA mchana kutwa; Tazama sura |