Methali 23:16 - Swahili Revised Union Version16 Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Moyo wangu utashangilia, mdomo wako utakaposema maneno yaliyo sawa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 utu wangu wa ndani utafurahi, wakati midomo yako itakapozungumza lililo sawa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Naam, viuno vyangu vitafurahi, Midomo yako inenapo maneno mema. Tazama sura |