Methali 4:15 - Swahili Revised Union Version15 Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Iepe njia hiyo wala usiikaribie; jiepushe nayo, uende zako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Epukana nayo, usisafiri katika njia hiyo; achana nayo, na uelekee njia yako. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Jiepushe nayo, usipite karibu nayo, Igeukie mbali, ukaende zako. Tazama sura |